Header Ads

Header ADS

Paul Makonda kuzichapa na bondia Francis Cheka kuhamasisha usafi

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajia kupanda ulingoni Agosti 27 kuzichapa na bondia Francis Cheka katika pambano la kuhamasisha usafi jijini Dar es salaam.

                 Akizungumza jijini Dar, Cheka amesema kampuni yake ya Cheka promosheni imeandaa pambano hilo ili kuunga mkono jitihada za Makonda katika zoezi zima la usafi.

“Siwezi kujua mkuu wa mkoa maandalizi yake ambayo amejiandaa lakini siku zote namuogopa mtu ambaye anaamua mapambano na mtu anayejua ngumi, ila namheshimu mkuu wa mkoa, kupitia mkuu wa mkoa ambapo wao ndiyo wametangaza usafi na sisi tusupport usafi katika nchi yetu,”, alisema.Akizungumza jijini Dar, Cheka amesema kampuni yake ya Cheka promosheni imeandaa pambano hilo ili kuunga mkono jitihada za Makonda katika zoezi zima la usafi.
“Siwezi kujua mkuu wa mkoa maandalizi yake ambayo amejiandaa lakini siku zote namuogopa mtu ambaye anaamua mapambano na mtu anayejua ngumi, ila namheshimu mkuu wa mkoa, kupitia mkuu wa mkoa ambapo wao iyo wametangaza usafi na sisi tusupport usafi katika nchi yetu,”, alisema.
                                                                                      

No comments

Powered by Blogger.