Nisamehe ya Barakah Da Prince na Alikiba kuanza kuonyeshwa MTV Base
Wimbo wa Barakah Da Prince na Alikiba ‘Nisamehe’ utaachiwa wiki hii
Video na wimbo vyote vitatoka pamoja, kwa mujibu wa Barakah.
“Video itatoka kwenye exclusive MTV Base kabla ya kituo chochote,” Barakah alimweleza mtangazaji wa Jembe FM, JJ.
Hivi karibuni Alikiba pia alishoot video yake mwenyewe na ile aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz nchini Afrika Kusini.
No comments