Griezmann: Napenda jezi namba 7 kwakuwa role model wangu ni David Beckham
Mchezaji Antoine Griezmann, 25, aliyeng’ara katika michuano ya Euro, huku akifunga magoli sita katika mechi saba, amesema David Beckham ni role model wake.
Amesema hiyo ndio sababu anapenda kuvaa jezi namba 7.
Nyota huyo wa Atletico Madrid ameliambia jarida la GQ Ufaransa: Navaa jezi namba 7 na ya mikono mirefu kwa sababu nilivyokuwa mdogo role model wangu alikuwa ni David Beckham.”
No comments