Desiigner auza kopi milioni 3 za ngoma yake ‘Panda’
Rapper aliyejipatia umaarufu na ngoma yake Panda, Desiigner amefanikiwa kuuza kopi milioni 3 za wimbo huo.
Wimbo huo ulifanikiwa kushika namba moja kwenye chati za Billboard Hot 100 na kuutoa wimbo wa Wiz Khalifa, See You Again kwenye chati hizo.
Def Jam Records wametoa taarifa ya mauzo ya ngoma hiyo kupitia Twitter.
No comments