Header Ads

Header ADS

wimbo wa Diamond na p square wafikisha views milioni moja ndani ya siku 4

Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo.                                                                 Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:                                       Video ya wimbo huo imetoka katika kipindi ambacho kundi la P-Square bado halina maelewano mazuri.

No comments

Powered by Blogger.