Header Ads

Header ADS

Simu za Nokia kuja kivingine na mfumo wa Android Nougat

Nokia imeripotiwa kuwa kwenye mipango ya kurejea kwenye soko la smartphone na simu mpya zinazotumia mfumo mpya wa Google, Android Nougat, version 7.0
                             Simu hizo zinatarajiwa kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu na zinatarajiwa kuzuia majina vumbi kama simu mpya za Samsung, Galaxy S7, S7 Edge na S7 Active.

Zitakuwa na screen yenye ukubwa inchi 5.2.

No comments

Powered by Blogger.