Shaa: Sawa itakuwa na video mbili tofauti (Video)
“Lakini video ya pili imesimamiwa na director Nick Dizzo ni wa hapa hapa nyumbani kwa wale ambao wanamfahamu, wanafahamu kazi zake ni nzuri sana,” ameongeza.
Amedai kuwa video aliyoifanya Nick Dizzo ni ya kucheza zaidi.
“Dance video zaidi itakuonesha tu kwamba jinsi gani ya kuucheza wimbo Sawa, mauno gani mtoto wa kike au mtoto wa kiume vile vile unaweza ukayakata.”

No comments