Header Ads

Header ADS

Rasmi: Zlatan Ibrahimovic ataja timu atakayoichezea msimu ujao

Aidha Ibrahimovic (34) atasajiliwa kama mchezaji huru na Manchester United huku akitarajiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu hiyo.


Aliyekuwa mchezaji wa timu ya PSG, Zlatan Ibrahimovic ametangaza rasmi kuwa ataichezea timu ya Manchester United kwa msimu ujao utakaoanza Agosti 13 mwaka huu.Kadabra
Ibrahimovic ambaye alikuwa akiwaniwa na United kwa muda mrefu tangu alipomaliza mkataba wake na PSG sasa atakuwa ni mchezaji wa pili kusajiliwa na Jose Mourinho baada ya beki wa Ivory Coast, Eric Bertrand Bailly kutoka Villarreal kusajiliwa mapema mwezi huu.

No comments

Powered by Blogger.