Header Ads

Header ADS

Mchezaji aliyefunga goli bora la dunia 2015, aamua kustaafu soka

Mchezaji wa Brazil ambaye alishinda Tuzo mwaka 2015 kwa kufunga Goli bora kabisa ameamua kupumzika kucheza soka kutokana na kuandamwa na majeruhi.
             Wendell Lira ana miaka 27 ambaye ufundi wake wa kufunga Goli kwa namna ya sarakasi ulimfanya kung’ara zaidi akiwapita Liionell Messi na Carlos Tevez                                                                            

Wendell amesema anataka sasa kujikita zaidi katika biashara ya Video Game yaani kucheza soka kwa teknolojia.

No comments

Powered by Blogger.