Header Ads

Header ADS

Huu ndiyo muonekano wa nywele za James Rodríguez

Football with a fashion. Mchezaji wa Real Madrid, James Rodríguez amewashangaza mashabiki baada ya kubadilisha muonekano wake wa nywele.13109024_260255790985138_1591226095_nBaada ya hivi karibuni kumalizika kwa michuano ya kombe la Copa America, watu wameonekana wakimshangaa Rodríguez (24) kutokana na muonekano wake mpya wa nywele huko kwenye maeneo ya Miami Beach akiwa na mke wake Daniela Ospina pamoja na mwanae [Salome].                                    13267349_246663199026538_1940231266_nHuo ndiyo unaweza ukawa muonekano mpya wa Rodríguez kwenye msimu mpya wa ligi utakaoanza mwezi Agosti mwaka huu. Lakini pia Rodríguez anatajwa ni kama mmoja ya wenye muonekano mzuri zaidi wa fashion wakiongozwa na Cristiano Ronaldo pamoja na David Beckham.

No comments

Powered by Blogger.