Header Ads

Header ADS

Aguero na Mascherano nao watangaza kustaafu soka la kimataifa

Timu ya taifa ya Argentina baada ya kushindwa kutwaa taji la Copa America kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chile, mshambulizi wa timu hiyo Argentina na Barcelona Lionel Messi alitanga kustaafu soka ya kimataifa.                                            35B55FFD00000578-3661620-image-a-46_1467004980445Baada ya Messi kutangaza kustaafu kuitumikia timu hiyo wachezaji wengine wamefuata nyayo za kutundika daluga muda mfupi baada ya mchezo dhidi ya Chile kumalizika.                      Messi-MascheranoMuda mfupi baadaye striker wa Manchester City Sergio Aguero na mlinzi wa kati wa FC Barcelona Javier Mascherano nao pia walitanga kuachana na timu soka la kimataifa.

No comments

Powered by Blogger.