Header Ads

Header ADS

TIZAMA;Ronaldo na Messi waongoza orodha ya wanamichezo tajiri duniani

Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amezidi kung’ara baada ya jarida la Forbes kutoa orodha ya top-10 100 Ni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi pekee ndio waliofanikiwa kuwa na utajiri uliowafanya waingie kwenye top 10.
Ronaldo ameongoza kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 88 ambazo ni zaidi ya bilioni 190 za kitanzania. Lionel Messi ameshika nafasi ya pili kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 81.4 ambazo ni zaidi ya bilioni 178 za kitanzania.
Dola milioni 32 ambazo ni zaidi ya bilioni 70 za kitanzania katika utajiri wa Ronaldo unatokana zaidi na mikataba ya matangazo kupitia account zake za mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram na Facebook.
Wengine ni pamoja na:
3. LeBron James
Total Earnings: $77.2 million
4. Roger Federer
Total Earnings: $67.8 millio
5. Kevin Durant
Total Earnings: $56.2 million
6. Novak Djokovic
Total Earnings: $55.8 million
7. Cam Newton
Total Earnings: $53.1 million
8. Phil Mickelson
Total Earnings: $52.9 million
9. Jordan Spieth
Total Earnings: $52.8 million
10. Kobe Bryant
Total Earnings: $50 million duniani na kumweka katika nafasi ya kwanza.

No comments

Powered by Blogger.