Header Ads

Header ADS

TIZAMA;Rafael Nadal kutoshiriki michuano ya Wimbledon

Nyota wa mchezo wa tenesi duniani Rafael Nadal ataikosa michuano ya Wimbledon kwa kusumbuliwa na maumiv2016-Australian-Open-Recap-Rafael-Nadal-Wozniacki-Outu ya kifundo cha mkono wa kulia.
Nadal atakosa michuano hiyo itayoanza kutimua vumbi kuanzia Juni 27 mpaka julai 10, mchezaji huyu alithibitisha kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook.
Rafael Nadal alindika “ingeweza kuniletea tatizo zaidi kama ningeendelea kucheza huku nikiwa na tatizo hili la kifundo cha mkono “.Kwa sasa Nadal anashika nafasi ya nne kwa ubora wa mchezo huu

No comments

Powered by Blogger.