Header Ads

Header ADS

TIZAMA;Madee awarushia dongo wasanii wa kike wa Bongo Movie

Msanii wa Bongo Flava toka Tip Top Connection, Madee ameweka wazi kuwa wasanii wa kike wa bongo movie sasa hivi hawafanyi tena kazi ya kuzalisha movie zao badala yake wameamua kuanzisha mahusiano mapya na watoto zaidi kila kukicha.Skuiz wadada wa bongo move..hawazalishi tena move mpya…wanaanzisha mausiano mapya na watoto kila kukicha..
Kupitia akaunti yake yf8ea4323331dc5b330b0feba5e7075b1a Twitter Madee aliandika ujumbe huu:

No comments

Powered by Blogger.