Header Ads

Header ADS

Snoop Dogg aachia rasmi cover ya albamu yake mpya itakayotoka Julai

Msanii mkongwe wa Hip Hop Marekani, Snoop Dogg ameachia cover ya albamu yake mpya ‘Cool Aid’ aliyopanga kuiachia rasmi Julai 1 mwaka huu.
Juni 3 mwaka huu Snoop Dogg alipofanya mahojiano na Jimmy Kimmel Live kuhusu jina la albamu hiyo, Snoop Dogg alisema, “”I’m cool, you know and I’m laid back.”
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Snoop Dogg ameandika: “July 1 I’m bac. ✨✨💫🕊🕊. G shiiit #coolaid.” Aidha baada ya kuachia albamu hiyo, Julai 20 Snoop Doggy na Wiz Khalifa wataanza ziara yao waliyoipa jina ‘The High Road Tour.’
90c8a860751b252e58c26f97e05856c4_XL

No comments

Powered by Blogger.