Header Ads

Header ADS

Sijawahi kuwa na menejimenti tangu nimeanza muziki – Malaika

Msanii wa Bongo Fleva, Malaika amesema kuwa tangu ameanza muziki hajawahi kuwa na menejimenti ila kuna watu Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Hatua Tatu, kinachoruka kupitia Times FM.
“Sikuwahi kuwa na meneja tangu naanza muziki, wapo watu ambao wananisupport. Hata wewe ukipenda unanisupport, ili kuna watu wa Norway wapo tayari kunisimamia ikiwa tayari nitawajulisha,” alisema Malaika13398905_1563952413899545_990633931_n  Norway wapo tayari kufanya hivyo.

No comments

Powered by Blogger.