Header Ads

Header ADS

Mmiliki wa klabu ya TP Mazembe Moise Katumbi kwenda jela Miaka Mitatu



Mmiliki wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Moise Katumbi amehukimiwa kifungo cha miaka mitatu jela.katumbi
Mfanyabiashara huyo tajiri, amekumbwa na adhabu hiyo yeye mwenyewe akiwa nje ya nchi kwa matibabu
Chapwe ,51, aliyeondoka nchini DR Congo mwezi Mei,
Katumbi ambaye yuko nje ya DR Congo, amepatikana na hatia ya kuuza moja ya mali zake katika eneo la Lubumbashi ikionekana hakufuata sheria za nchi hiyo huku akijua ni makosa.
Hata hivyo, tajiri huyo ambaye alihukumiwa bila kuwepo mahakamani, inaonekana ameingia kwenye tatizo hilo baada ya uamuzi wake wa kuamua kugombea urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya DR Congo.
Katumbi anatarajiwa kukatia rufaa hukumu hiyo.
Rais Joseph Kabila yupo madarakani tokea mwaka 2001 ameamua kuendelea kugombea uongozi tena licha ya kujua anavunja katiba.

No comments

Powered by Blogger.