England na Wales zafanikiwa kusonga mbele Euro
Wales na England zimefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Euro baada ya mechi zake za kundi B kukamilika.Vijana wa Chris Coleman wamewabamiza Russia mabao 3 kwa 0 na huku
England ikilazimisha sare ya bila kufungana na Slovakia katika mchezo wa
mwisho wa kundi hilo uliochezwa huko Saint-Etiene, Ufaransa.
No comments